Hii nakuachia mwenyewe uamue utampa nani kama mama Mkwe au boss kazini sawa!
Ni tea bags box , size 9 x 9 x 9 cm
serving tray ina match na hio tea box!
size 13 x 13cm
Iko katika rangi tofauti, pink, gray na white!!
Gifts are available @ Kikapus shop for details email zawadipoint@gmail.com
No comments:
Post a Comment