This is no go!
Unaweza wrapp chupa yako kwa ribbon au wrapping paper in this case nimetumia bottle dresser!!
Dressed bottle.. safi kabisa ! dresser inabeba ujumbe wako pia ,, hapa "Danke" - Thank you
Where to:-
A visit to a friend!
A second date,
Father's day..
Msibani
kwenye kutoa mahari au kuji introduce kwa wakwe..
appreciation etc
No comments:
Post a Comment